Ajira Mpya Jeshi la Polisi 2025 – Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza ajira mpya kwa vijana wa titanzania wenye sifa 2025. Je Unawezaje kutuma Maombo? Fahamu Hatua na Taratibu zitakazokuwezesha Kutuma Maombi.
1. Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA. Barua hiyo iambatishwe kwenye maombi ikiwa kwenye mfumo wa ‘pdf’.
2. Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) unaopatikana kwenye kiunganishi (link) cha tovuti ya Jeshi la Polisi (https://ajira.tpf.go.tz).
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa.
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi 2025?
Pata Mwongozo wote juu ya Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi 2025 kupitia Tovuti Maalumu ya Jeshi la Polisi, Kupitia Tovuti ya Jeshi la Polisi Utaweza Kupata PDF Ambayo Itakuwezesha wewe Kutuma Maombi ya Kazi.
    Hata Hivyo, Utaweza Kupakua Maelekezo Yote Yanayohusu namna gani mwombaji anaweza Kutuma Maombi Ya Kazi Kupitia Mfumo Maalumu ambao umeundwa Kwa Ajili ya Kurahisisha Utumaji wa Maombi.
Hivyo, Waombaji Wote wanatakiwa Kutuma Maombi Yao Kupitia Mfumo wa Kidijitali na Sio Posta wala Barua Pepe. Inamaana Kuwa Maombi Yote Yatakayotumwa kwa Njia Tajwa Hapo Juu hayatapo
DOWNLOAD PDF JINSI YA KUTMA MAOMBI HAPA
ALSO READ: CSEE TIMETABLE 2025
Leave a Comment